Full Time: Simba SC 2-1 CS Sfaxien | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa National Stadium | Disemba 15,2024

Full Time: Simba SC 2-1 CS Sfaxien | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa National Stadium | Disemba 15,2024

Unatuhimiza vipi kama mashabiki tutimize wajibu wetu wakuja uwanjani huku wachezaji wanachokifanya ndio hiki ambacho tunakiona??
 
Hii game Simba wanailetea masikhara
Itawaghalimu pakubwa

Hawa waarabu hamna kitu kabisa
 
Refa anawabeba Simba ila hawabebeki, kipindi Cha pili wasifanye masikhara
 
1734270820090.png
 
Na ndio kinaweza kuja kutokea second half

Simba watashambulia kizembe jamaa watakuja kuvizia shambulizi moja tu la hatari kamba
Mchezo utaishia hapo hapo
 
Kila la kheri watoto wa mjini kutoka mtaa maarufu jijini Dar es salaam, Msimbazi.
Mungu wetu asimame pamoja nasi tuibuke na point 3 muhimu🙏🙏🙏
Amin
 
Simba ipo vizuri kuanzia nyuma hadi CDM ila ukishafika kwa kina Ahoa sijui Ateba bado hatuko vizuri.

Ngoma anapoozesha mpira kweli, Akimpa namba 10 wetu anapoozesha zaidi, matokeo yake tunakuwa na umiliki mkubwa usio na manufaa.
 
Back
Top Bottom