Full Time: Simba SC 2-1 CS Sfaxien | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa National Stadium | Disemba 15,2024

Badala ya kucheza wenyewe wanasubiri refa apulize filimbi , wamepata walichokitaka wasitafute wa kumlaumu
Ila pamoja na hayo yote Simba bado wachezaji wake wanafanya utoto sana kwenye games ambazo wapinzani ni dhaifu.

Mechi ya away dhidi ya Constantine tulicheza vizuri kuliko hii ya leo ambayo yupo nyumbani.

Haya matokeo tumshukuru refa zaidi kuliko Kibu, tukiwa na consistency ya performance hii sidhani kama kuna sehemu tutafika.

Hatuwezi kutegemea refa siku zote, kuna siku tutakutana na timu ambayo itamaliza mchezo dakika za mwanzoni halafu hata ziongezwe dakika 30 hatuwezi kubadilisha matokeo.
 
Hii ya mipira miwili inakuwaje?
Mana hata kwenye ile mechi na Constantine pia ilifanyika hio?
 
Kwenye zile dakika 7 za nyongeza kuna tukio gani lililotokea la kupoteza muda hadi refa aendelee tu kuchezesha hadi dakika ya 8 kwenda 9?
Kwani waarabu walikua hawachezi? Au waliambiwa msicheze waacheni simba wacheze?! Mbaya zaidi wamepiga Rafa! Waarabu mapimbi sana maaamae zao. Wangeondoka kimya kimya wakakate rufaa CAF
 
REFA alivuta mlungula sio Bure alistahili kichapo tokea lini dakika za nyongeza zikawa na nyongeza nyingine? Simba walipofunga akamaliza na mpira, licha ya Simba kubebwa kiwango chao ni ovyo kabisa bila msaada kama wa refa ama penalty kutokea inakuwa aibu ya mwaka,,uko kwako, uwanja wako na bado unategemea Rose mhando akuokoe🚮🚮🚮
 
Trokaaa hujawahi kuona au ndo umeona leo?? Mtatoka vijaba vya roho..
Point tushachukua jiueni sasa ..
Kuna timu zinabebwa kama...refa kafanya yake kama ww ulibeti imekula kwako
 
Kwenye za nyongeza humo ndani kama muda umepotea refa anatembeza boli mpaka muda utimie. Hii ni dunia nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…