KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
yeah huwa sipendi nidhamu za waarabu wanajikutaga keki sana wale!.What a point from a genius utopolo mr kenzy...
Bora ww unaangalia mpira kwny angle tofauti...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeah huwa sipendi nidhamu za waarabu wanajikutaga keki sana wale!.What a point from a genius utopolo mr kenzy...
Bora ww unaangalia mpira kwny angle tofauti...
Ila pamoja na hayo yote Simba bado wachezaji wake wanafanya utoto sana kwenye games ambazo wapinzani ni dhaifu.Badala ya kucheza wenyewe wanasubiri refa apulize filimbi , wamepata walichokitaka wasitafute wa kumlaumu
Hii ya mipira miwili inakuwaje?Nidhamu ya waarabu imewaponza, toka awali walikuwa wanacheza kwa mbinu zao za kujiangusha mara waingize mipira miwili miwili na nafikiri walimjibu refa vibaya!, nashuku walimtukana sasa nayeye akaamua atumie mamlaka yake!.
kuongeza dakika 7 haikuwa shida ila kwenye nyongeza kaongeza zikafika 9, na ubovu goli limepatikana ktk dakika ambazo hazikuwa zile saba!.
Naweza sema refa kaishi usemi wa simba yani "Ubaya ubwela!"...🤣
Oni langu..
Ni muda sasa timu za kaskazini haswa waarabu wabadilishe nidhamu za uchezaji wao, figisu figisu za ajabu zitakuwa zinaleta tafrani kwa wapinzani na hata refa kama ilivyojitokeza hivi leo.
CAF wamekuwa wakiwalea hawa waarabu nafikiri waongee nao.
Tutajirekebisha kaka usiumie sana furahi hata kwa hili la leoOfcoz maamuzi ya refa ndio ya mwisho ila simba tumepoteza nafasi nyingi za Kufunga timu mbovu sana
Hili hatuwezi kusahau mkuu Awaah, Mukwala na Mutale hawastahili kuendelea kuwepo SimbaHapo tutasahau ubovu wa timu hadi ishindwe tena
Siumii Wala mi mwenyewe mnyama ila tumeshindwa kutumia nafasi nyingi kama simba ataendelea hivi tutatoka mapema sana kwenye hili kombe kama huamini subiri nitakukumbusha.Ww mbona kama unaumia sana sir..yani sisi hautuambii kitu...
Kwani waarabu walikua hawachezi? Au waliambiwa msicheze waacheni simba wacheze?! Mbaya zaidi wamepiga Rafa! Waarabu mapimbi sana maaamae zao. Wangeondoka kimya kimya wakakate rufaa CAFKwenye zile dakika 7 za nyongeza kuna tukio gani lililotokea la kupoteza muda hadi refa aendelee tu kuchezesha hadi dakika ya 8 kwenda 9?
Bado hamjasema Mbona!?😂hakuna timu hapo
wanapoteza muda tu wanarusha mpira mwengine wakati wanaona kuna mwengine ndani!, so kulikuwa na upuuzi mwingi nafikiri imefaa kuwa adhabu tosha kwao kwa hili la leo.Hii ya mipira miwili inakuwaje?
Mana hata kwenye ile mechi na Constantine pia ilifanyika hio?
Jana nasi tumesawazisha dk za nyongeza kama hizi tuheshimu mpira wenzangu wa YangaHamuoni aibu hili gori la kubebwa
Ukweli umekuuma? Matokeo hayawezi kufutika ila refa alibeti mechi ya leoFuta matokeo mkuu. Yafanye yawe 1-1.
Trokaaa hujawahi kuona au ndo umeona leo?? Mtatoka vijaba vya roho..REFA alivuta mlungula sio Bure alistahili kichapo tokea lini dakika za nyongeza zikawa na nyongeza nyingine? Simba walipofunga akamaliza na mpira, licha ya Simba kubebwa kiwango chao ni ovyo kabisa bila msaada kama wa refa ama penalty kutokea inakuwa aibu ya mwaka,,uko kwako, uwanja wako na bado unategemea Rose mhando akuokoe🚮🚮🚮
Jana umepata goli dkk za nyongeza leo mnabwatuka kama manyani...Ukweli umekuuma? Matokeo hayawezi kufutika ila refa alibeti mechi ya leo
Mbona habetii uto?Ukweli umekuuma? Matokeo hayawezi kufutika ila refa alibeti mechi ya leo
Kwenye za nyongeza humo ndani kama muda umepotea refa anatembeza boli mpaka muda utimie. Hii ni dunia nzimaREFA alivuta mlungula sio Bure alistahili kichapo tokea lini dakika za nyongeza zikawa na nyongeza nyingine? Simba walipofunga akamaliza na mpira, licha ya Simba kubebwa kiwango chao ni ovyo kabisa bila msaada kama wa refa ama penalty kutokea inakuwa aibu ya mwaka,,uko kwako, uwanja wako na bado unategemea Rose mhando akuokoe🚮🚮🚮
Ni sahihi kabisa, kwa sababu muda huo Mwarabu alikuwa kafungwa kamba miguuniHaya mambo siyo, mnarudisha nyuma soka letu na kutia aibu Taifa.
Kulikuwa na haja gani ya kuchelewesha kumaliza mpira? Refa kanunulika waziwazi.
Za kawaida na nyongeza zilishakwisha sasa zile za mfukoni mwake alizitoa wapi?Ni sahihi kabisa, kwa sababu muda huo Mwarabu alikuwa kafungwa kamba miguuni