Full Time: Simba SC 2-1 CS Sfaxien | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa National Stadium | Disemba 15,2024

Kwa kiwango kipi icho,,kikombe unachocheza yanga kacheza fainali msimu juzi sasa wewe kama makundi tu ni mtihani Tena ukiwa nyumbani kwako sasa utaweza kufanya kile alichokifanya yanga?
Yanga nye nye nyeeee! Kwenye ubora wake simba hicho kikombe alifika robot mara ngapi? Nyie kwenye ubora wenu kufika robo hapo mtihani.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Chief kuna timu hapo inapiga hesabu za 'tuki' 'waki'
 
Na hiyo ndio dawa yao
 
Reactions: Tui
Timu amna pale nyie kenueni lakini mko ovyo sana rejea ushindi wenu uliopita wa penalty mechi iliyopita,,Rudi kwenye mechi hii mpaka Refa apewe chochote ndio mshinde na bado unajimwambafai,,acha ujinga basi!
Ww angalia kwanza pancha zako..kamdomoo kwa jirani katakuponza mtani
 
Yanga nye nye nyeeee! Kwenye ubora wake simba hicho kikombe alifika robot mara ngapi? Nyie kwenye ubora wenu kufika robo hapo mtihani.
Kumbe wewe una wazimu eti,,kucheza na kuishia robo robo kikombe cha akina mama wenzako wamecheza fainali,,kama unauwezo kacheze iyo fainali tukuone kama unatoboa kwa timu yako iyo
 
Ila Kibu anawafaidi sana Waarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…