shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 842
- 1,928
Hii mechi inafananq na simba na wdadi kule moroko dakika ziliisha refa akaongeza kama dakika moja yake tukapigwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kata rufaa Utopolo. PELEKA malalamiko TFF.Hayo ni maagizo ya FIFA kwa marefaa kwamba waongeze dakika kwa timu zinazopoteza muda kwa makusudi.Ndio maana Uingereza sio ajabu kuona mpira unaongezwa dakika 12.Tokea ziongezwe zile dakika 7 hakuna mchezaji yeyote aliyedondoka chini mpira muda wote ulikuwa unachezwa. Refa ameibetia Simba
Ulitaka amalize mpira ili iweje? Ulikuwa na haraka ya nini? Au ulikuwa umebanwa mwiko nyuma?Haya mambo siyo, mnarudisha nyuma soka letu na kutia aibu Taifa.
Kulikuwa na haja gani ya kuchelewesha kumaliza mpira? Refa kanunulika waziwazi.
Acha unafiki boss, hizo dk za nyongeza waarabu waliambiwa msicheze waacheni Simba au na wao walikuwa wanacheza?Kwenye zile dakika 7 za nyongeza kuna tukio gani lililotokea la kupoteza muda hadi refa aendelee tu kuchezesha hadi dakika ya 8 kwenda 9?
Hakuna uzuri wowote kaonesha wazi wazi kuwa kaibetia Simba. Mchezaji wa CS Sfaxien alikuwa kachezewa faulo na Melon lakini alifanikiwa kuwin mpira na alikuwa anaenda kufunga kwanini hakuacha advantage pale badala yake kaona Che Melon kaachwa kapuliza kipyenga cha faulo na kumpa che Melon kadi ya njano wakati alikuwa ni mtu wa mwisho aliyezuia goli kufungwa.We mwarabu Koko. Refa kachezesha vizuri. Hayo maarabu yanatuoneaga kila siku. 😀😀😀😀
Sawa ila tayari 2-1 mkuu maneno hayasaidiiTokea ziongezwe zile dakika 7 hakuna mchezaji yeyote aliyedondoka chini mpira muda wote ulikuwa unachezwa. Refa ameibetia Simba
Hizo dakika 7 ni minimum.Jifunze sheria za maamuzi ya Refa utaacha kuropoka.Kwenye zile dakika 7 za nyongeza kuna tukio gani lililotokea la kupoteza muda hadi refa aendelee tu kuchezesha hadi dakika ya 8 kwenda 9?
Unashangaa dakika 2 kuongezwa!Dakika 2 zimeongezwa zikawa 9 badala ya 7.. Goal
Ungekuwa na akili ungeona upumbavu wa hizi timu za kiarabu zinavyopoteza muda bila sababu za msingi. Uliona wapi ulaya timu zikipoteza muda kifala kama timu zetu hizi za kiarabu?Refa kashinda. FIFA na CAF waiangalie hii issue ya marefa kutokuheshimu muda halali wa mchezo na kuamua wanavyoona wao vinginevyo uhuru wa marefa unaweza kusababisha malalamiko kwa timu ambazo zinafungwa baada ya muda rasmi wa nyongeza kuisha.
usimalize maneno yote tunza kuna kesho pia!Kibuuu baba dhambi zako zote apewe kibabage...
Lifute SasaHamuoni aibu hili gori la kubebwa
Badala ya kucheza wenyewe wanasubiri refa apulize filimbi , wamepata walichokitaka wasitafute wa kumlaumuWanaacha kukubali na matokeo wao wanaleta fujo
Huyu Kibu aliwafunga Tripoli iliyokuwa na mchezaji wa bilioni 5 tena kwa akrobatiki lakini waarabu wale walitulia tu.
Sasa wao header mbili tu tayari wameanza kuleta fujo kwa kocha.
Mechi ijayo Kibu tutakuwa hatumpangi sasa.
Dakika za woteTokea ziongezwe zile dakika 7 hakuna mchezaji yeyote aliyedondoka chini mpira muda wote ulikuwa unachezwa. Refa ameibetia Simba
Chuki tu za watu kwa Kibu, hata akifanya jema wao wanaona mabaya tu ya MkandajiSimba ameshinda lakini hakuna anaemuengelea KIBU DENNIS....
the man was superb TODAy
Mpanzu anaingia atakngeza timu namuonea huruma Mutale anahitaji saikolojia zaidiHapo tutasahau ubovu wa timu hadi ishindwe tena