President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Penati ni sehemu ya mchezo. Juzi Zanzibar mlicheza. Au siku hizi penati ziondolewe?Mnataka kusema Simba bila Penati ya mchongo walikuwa wanaloa?
Basi hufuatiliagi mechi za Simba.Tangu nianze kufuatilia mpira wa miguu sijawahi kuona kituko kama cha leo ππ
Simba imetinga Fainali Shirikisho MKUU.Ngapi ngapi hukoo?
Penati ni sehemu ya mchezo. Juzi Zanzibar mlicheza. Au siku hizi penati ziondolewe?
KabisaLigi ya ajabu hii
Unaujua mpira ama shabiki maandaziTangu nianze kufuatilia mpira wa miguu sijawahi kuona kituko kama cha leo [emoji16][emoji16]
Amna wemechoka ratiba kwao ngumu.SIMBA NI DHAIFU SANA AISEE......
WEwe inakusaidia nini kujua timu nayoshabikia? Muhimu ni kwamba mnabebwa basiWewe unashabikia timu gani?
Dk 15 wameongeza na huyu refa anayechezesha ni dhahiri amebetia simbaDuuuh Dakika 10 za nyongeza π³ π³ π³ π³
Aibu timu iliyoingia Fainali kubutuliwa na Mashujaa kwahiyo inafanyika kila mbinu ili wapate la 2 kufuta aibu.Kabisa
et kupindi cha kwanza tunaongeza dk 6
Kipindi cha pili dk 15
Huu ni usengerema.
Simba ni ccm tyu.
Huwa hamuhesabu wewe na nani?Penati huwa hatuhesabu kama ni GOLI.