Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,391
- 3,373
Hasa baada ya mechi za kimataifaHakuna kitu kigumu kama kile cha kula kiporo! Na ugopa hicho kiporo kikichacha! Lawama zitasikika kila kona.
15 + 9 za first halfHii ni mechi ya kwanza msimu huu kuongezwa Dakika 15
15+Duuuh Dakika 10 za nyongeza π³ π³ π³ π³
Maana umefura kama chura. Football siyo ugomvi. But wewe mwenzetu π πWEwe inakusaidia nini kujua timu nayoshabikia? Muhimu ni kwamba mnabebwa basi
Dk 15 wameongeza na huyu refa anayechezesha ni dhahiri amebetia simba
Duuh hadi aibu
Yanga msimu uliopta alitoka kucheza na Azam akaenda kucheza Mamelodi hakukua na habari za viporo 3+ na bado mechi na Azam ilipata majeruhi.Amna wemechoka ratiba kwao ngumu.
HahaaaEbu kwanza, huu mpira unaisha saa ngapi?
Na GSM.Huwa hamuhesabu wewe na nani?
π π Wenye akili yanga ni wawili tu.
Tutaaπ€£π€£ var inasemaje hapoFaldu aache dharau