Siyo mimi tu kama kuna kiongozi anayejua mpira na uongozi ataweka mapenzi pembeni na kuchukua hatua kali ili iwe fundishoHakuna inachojua utopolo wewe. Endeleeni kulalamika
Kachezesha vizuri sana.Man of the match ni refa
Hawakukosi, jifanye mjanja wa kupoteza mudaSimba kwa Penati hawajambo
Acha makasiriko dogo.Siyo mimi tu kama kuna kiongozi anayejua mpira na uongozi ataweka mapenzi pembeni na kuchukua hatua kali ili iwe fundisho
Wewe ni wale mashabiki wa kijiweni siyo mpenzi wa mpira endelea kushangilia tuAcha makasiriko dogo.
Unaumia tokea wapi, danga lenu limepopolewa.
Hizo dakika za nyongeza walipewa Simba pekee yao.
Hizo penati ni za mchongo.
Acheni uchambuzi wa kijinga
Kwani walizopteza Simba na Mashujaa uwanjani ni ngapi hadi unakataa kuongezwa 25.Dakika 8 kipindi cha kwanza 17 kipindi cha pili.. 8+17=25
Hii nchi kila sehemu ni uozo.
UsinipangieWewe ni wale mashabiki wa kijiweni siyo mpenzi wa mpira endelea kushangilia tu
Zingefutwa75% ya magnolia ya Simba kwenye ligi hii ni ya penati tena zenye utata
Tatizo soccer inageuzwa kick boxing au rugby wanapoahidiwa million 100 kuifunga Simba.Simba kwa Penati hawajambo
Una matatizo ya akili.Kwani walizopteza Simba na Mashujaa uwanjani ni ngapi hadi unakataa kuongezwa 25.
Mchezo wa kawaida tu ambapo tunaona hakuna upotezaji wa muda huwa zinaongezwa 3 hadi 5. Otakuwa huu ambapo timu inafikia hadi kipa kupewa kadi 2 za njano.
Nendeni kasi kama mnaona mmeonewa mashabiki wa Utopolo.
Kafumgwa Mashujaa maumivuj yanasikaka matopeni
Hajakupangia mtu ila unachoongea kinaakisi akili zakoUsinipangie
Mno anastahili man of the match na pia apewe fursa ya kuchezesha simba na berkane ili atusaidie tuchukue ndoo bila ya yeye tutapata aibuKachezesha vizuri sana.
Yanga kapewa point ngapi na goli ngapiRefa kaongeza dk 25 na simba alipopata bao mpira ukaisha palepale.
Mashujaa waende cas, waombe pt 3 na magoli 3 kama aliyofanya yanga.
Ushahidi ninao
Kama unaona penality sio sehemu ya Sheria za soka peleka hoja FIFA ziondolewe.75% ya magoli ya Simba kwenye ligi hii ni ya penati tena zenye utata
Utata upi75% ya magoli ya Simba kwenye ligi hii ni ya penati tena zenye utata
Kuongeza mudaOnyesha makosa ya refa badala ya kuonyesha utopolo wako