The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,698
- 17,114
Mkuu si mnaongoza moja bila mbona sukari imepandaMashujaa wakielekea kwenye goal la Simba tu inakuwa offside au faulo! Mpira ukitolewa na mchezaji wa Simba faida ya kurusha wanapewa Simba haohao! Huu ni upumbavu na hii haiwezi kuwa ligi ya 4 kwa ubora, ni TAKATAKA kabisa.
Hakika mkuu hapa bahasha imetembea.bahashaaaa
Bahasha imetembeaDeflection
Hakukuwa na deflection yoyote, angalia vzrDeflection
Ndicho wanataka, subiri wale umeme wa kutoshaMpaka Sasa faulo ni;
Simba - 1
Mashujaa - 16.
Faulo nyingi hazina uhalisia, ni harakati za refa kuforce jambo lake na nna uhakika 2nd half kuna redcard na penalty. Marefa wa bongo ni TAKATAKAMpaka Sasa faulo ni;
Simba - 1
Mashujaa - 16.
Simba ndiyo imekufa hivyo. Hakuna cha fainalist wa cafcc and No coming backView attachment 3322454
Litakufa Jitu Leo...
#nguvumoja#
VIKOSI VYA LEO
1. SIMBA
View attachment 3322721
2. MASHUJAA FC
View attachment 3322722
Updates...
Dk 04'
Simba wanafanya shambulizi kali , inakuwa kona.
Inapigwa haileti madhara.
Valentino..
DK 05'
Goooooooal Mashujaaa
Wanaweka chuma cha Kwanza.
Hapa
0-1
Nna uhakika na hilo na kutakuwa na red card kwa Mashujaa. Hivi ndo soka la Bongo lilivyoSimba watapewa penati kipindi Cha pili
MbelekoDakika 6??
Hii game vepe
hawa ni familia leo watatuelezaHakika mkuu hapa bahasha imetembea.