Shabiki wa yanga anasema pacome ni pacha wa zuwena na bleach ya jiki.Pakome zoa zoa anachekesha kama hatokei kwenu [emoji1787]
Chama anazeeka na utamu wake[emoji91]
Kuna watu wanajua kukeraa aisee🤣Shabiki wa yanga anasema pacome ni pacha wa zuwena na bleach ya jiki.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimechekaa hadi bas, Woiiiiiii!!
Wanabaki wanaulizana kwani pacome hayupo humu ndani? Mwingine kadakia yaan zuwena asiwepo halafu yanga mtabaki na nini??Kuna watu wanajua kukeraa aisee[emoji1787]
Kwanini zuwena 🤣Wanabaki wanaulizana kwani pacome hayupo humu ndani? Mwingine kadakia yaan zuwena asiwepo halafu yanga mtabaki na nini??
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka leo, watu wamevurugwa na kipigo cha juzi Muungano.
Hata Simba kuna matukio ambayo uwanja usingekuwa vile basi hatari isingewakuta. Kuna pasi nje ya box la Yanga ilizuiwa na tope mpira ukaishia njiani beki akachukua.Dube alikuwa anaimaliza mechi, ila si mlaumu sana kwa uwanja wa leo.
Bleach ile, [emoji23][emoji23][emoji23]Kwanini zuwena [emoji1787]
Uwanja wa chandimuMechi kama chandimu.
😂😂🙌🏾Man U tunaua mtu!
Huku Tz Yanga tunazika.
NilisemaKuna watu leo wanaenda kugawa ubingwa
Kwamba mmeshinda ama😅😅😅Au sio, kwisha ngebe
Shadeeya mungu mkubwaFT
2-2
Hujui raha ya Kurudisha mabao 2 weweChura acheni kushangilia hiyo sare