Full Time: Simba SC 2-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kariakoo Derby| Major Isamuhyo Stadium | 03.05.2026

Full Time: Simba SC 2-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kariakoo Derby| Major Isamuhyo Stadium | 03.05.2026

Ikiwa imebaki saa 1 dk30 kupigwa derby,tambua kuwa Simba anaingia akiwa hajashinda mechi yeyote ya ligi tangu Nov.2023 pia unakuwa mchezo wake wa 9 akiwa hajafanikiwa kuifunga Yanga ndani ya dk 90. Hivyo ukweli ni kwamba Simba wanapresha zaidi kuliko Yanga kifupi hawana furaha.
Simba hajashinda mechi ya ligi tangu 2023, sasa c Ilitakiwa awe ameshuka daraja au?
 
1000725667.jpg
 
Back
Top Bottom