Full Time: Simba SC 2-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kariakoo Derby| Major Isamuhyo Stadium | 03.05.2026

Full Time: Simba SC 2-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kariakoo Derby| Major Isamuhyo Stadium | 03.05.2026

Mficha maradhi kifo kitamuumbua, benchi la ufundi la Yanga lilikuwa la ovyo tokea muda ila ikajihada kwa mleta Moalin kama muarobaini na sasa ni kuabika
 
Match Day
Kariakoo Derby
View attachment 3583143
Vikosi VINAVYOANZA.
View attachment 3583350

View attachment 3583351
Updates...
Timu zote zimewasili tayari kwenye Uwanja wa Mchezo. Major Isamuhyo Mbweni...

Kikosi cha Yanga kimegoma kuingia kwenye vyumba vyakubadilishia Nguo.

Wameingia kwenye nyumba ya pembeni...

Sasa ni saa 11:18jioni

DK 1
Mpira umeanza kwa kasi, Yanga wanaanza kwa kupiga mipira mirefu..
Haina faida

Dk 2
Libaseeeeeeeeeee
Simba wanapata chuma hapa goli zuri kabisa...
Chama ametengeneza goli zuri
Hapa...

Dk 4
Simba wanapata free kick inapigwa inababatiza kwenye goli la Yanga, wanaokoa.
Game On
1-0

Dk 9
Chamaaaaaaaaaaaa
Goooooooal chuma cha pili...
Goal la Msimu linapatikana hapa
Simba 2- 0 yanga
Haleluyaaa haleluyaaa nimepiga chuma mbili..wakubwa wamewlewa

Simba nae chuma mbilii
 
Back
Top Bottom