Full Time: Simba SC 2-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kariakoo Derby| Major Isamuhyo Stadium | 03.05.2026

Full Time: Simba SC 2-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kariakoo Derby| Major Isamuhyo Stadium | 03.05.2026

Mkuu ndiyo maana nimesema benchi la ufundi nimejumlisha kilaza Pedro na vifungashio vyake vyote. Wamejazana watu kibao halafu wote ni average
Naomba leo tufungwe ili atimuliwe

Mana tuki draw au kushinda kuna uwezekano mkubwa akaachwa.
 
Ila huu uwanja viongozi wa Simba hawajatutendea haki.
 
45 za kwanza zimeisha, kuna somo hapa kwamba refarii yeyote yule anaweza kukosea kwasababu ni binadamu na sio kukosea ni ishara ya rushwa. Washika kibendera leo wamezingia katika matukio ya offside.
 
Back
Top Bottom