Martrix_32
JF-Expert Member
- Dec 1, 2025
- 1,025
- 2,058
kila saa simba mnaweka score, ngoja iwe 2 : 2 keyboard itaingia maji !HT
Simba 2 - 1 Yanga
kila saa simba mnaweka score, ngoja iwe 2 : 2 keyboard itaingia maji !HT
Simba 2 - 1 Yanga
Acha uchawi mbona kijana mzuri tukila saa simb mnaweka score, ngoja iwe 2 : 2 keyboard itaingia maji !
Japo Chama amejua kutufurahisha ila hili papatu papatu la tope haswa ule upande wa Kibabage halipo upande mmoja linatuumiza wote.Ladha gani na ww unataka maana tope nalo linaladha yake🙁🙁
Kwa Manchester utakufa kwa presha😜😜😜 huku majesta tunajipigia , huku simba tunajipigia kwa huu utamu lazima nife na kisukari
Hahaaa, mnawasiwas simba, mbona uo uchawi naskia ndo mnatamba nao !Acha uchawi mbona kijana mzuri tu
😅😅Acha walau tujifariji kwa leo haramu inaliwa mala moja mojaWazee si tulikubaana tunaachana na Simba na Yanga , tunaikomboa nchi kwanza sasa mbona Niko peke yangu ?
Tunaongoza ila naogopa🙌Hahaaa, mnawasiwas simba, mbona uo uchawi naskia ndo mnatamba nao !
Ngoja kwanza dk ya 89-90+ tutafanya maamuz!Wazee si tulikubaana tunaachana na Simba na Yanga , tunaikomboa nchi kwanza sasa mbona Niko peke yangu ?
hahaaa, jiskie uko uwanjan you'll gain confidence!Tunaongoza ila naogopa