Bwawani FC.....mvua chaass mechi kalasss
Kama GSM hataendeleza porojo na utapeli uliofanywa na watangulizi waliopita, anaweza kufanya kitu.Jangwani mnajenga? 😂😂
Ni tabu tupu mkuu.Kama timu zote mbili zina miaka zaidi ya 90 tangu zilipoanzishwa! na bado hazina viwanja vyao binafsi kwa ajili ya mazoezi na mechi! Let us wait and see.
Na tumewaita waamuzi kutoka Morocco walioandaa AFCON iliyoisha. Tunajivua nguo mbele ya wakweJust imagine ndio nchi unategemew kuandaaa mashindano ya CUF
Kwa makocha hawa wa Yanga hilo haliwezekani kamwe. Ukiona kipindi cha kwanza kimeisha 0-0 basi lazimq kipindi cha pili Yanga wafungwe. Na ukiona kipindi cha kwanza Yanga anaongoza basi jua mechi itaisha kwa sare. Na ukiona Simba anaongoza goli moja basi jua Yanga itafungwa goli zaidi ya moja. Kocha wa Yanga hajuagi kipindi cha pili afanye nini hivyo hana mbinu.huenda simba akafia nyumbani kwake leo kwa kifo cha aibu na uchungu mkubwa sana
Yanga sio timu ya kijinga ikimbie mechiMbona kuna tetesi kuwa leo Yanga watakimbia mechi?