Full Time: Simba SC 2-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kariakoo Derby| Major Isamuhyo Stadium | 03.05.2026

Full Time: Simba SC 2-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kariakoo Derby| Major Isamuhyo Stadium | 03.05.2026

Sasa uwanja kujaa maji si walitakiwa kuwa na subira hadi siku ya mchezo, kunakuwa na kukagua uwanja baina ya timu zote mbili na match officials kisha wanakaa mezani kufikiana. Zile video walizochukua ni dalili za uoga wa kupoteza mara mbili mfululizo ndani ya wiki moja.
Ila game leo lazima ichezwe tu hakuna namna
 
Back
Top Bottom