Unawapa code, waache wajipe moyo wapasukeKwa makocha hawa wa Yanga hilo haliwezekani kamwe. Ukiona kipindi cha kwanza kimeisha 0-0 basi lazimq kipindi cha pili Yanga wafungwe. Na ukiona kipindi cha kwanza Yanga anaongoza basi jua mechi itaisha kwa sare. Na ukiona Simba anaongoza goli moja basi jua Yanga itafungwa goli zaidi ya moja. Kocha wa Yanga hajuagi kipindi cha pili afanye nini hivyo hana mbinu.
Tukutane mwisho wa gameUnaota Mdau
Tukutane baada ya dakika 90 kakaHatujakuona jombaa
Sawa 😄😄Uto huwa mnakimbia
SikimbiiNajua utakimbia mdau
Tulia na mahistoria yakoIkiwa imebaki saa 1 dk30 kupigwa derby,tambua kuwa Simba anaingia akiwa hajashinda mechi yeyote ya ligi tangu Nov.2023 pia unakuwa mchezo wake wa 9 akiwa hajafanikiwa kuifunga Yanga ndani ya dk 90. Hivyo ukweli ni kwamba Simba wanapresha zaidi kuliko Yanga kifupi hawana furaha.