Full Time: Simba SC 3 - 0 Al Merrikh

Nimeona TV moja imeandika "Simba yatangulia robo fainali" kwa herufi kubwa nikasema vyombo vya habari Tanzania ni janga.
 
Sawa

Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
Nliona jamaa mmoja anakushauri sana kulamba limao. Naona alikuwa sahihi. Lamba limao. Unaendeleaje lakini? Mpaka itatoka kwa haya inayoyafanya Simba.... Lazima itoke. Lamba limao tena....😜😜😜😜😜😜😜😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 

View attachment 1727444

Mkuu magoli mengi unayatoa wapi.Au wewe una fomula za peke yako?
 

Attachments

  • Screenshot_20210316-223433_Chrome.jpg
    16.4 KB · Views: 2
Hivi ikitokea umeota unabakwa utajiandaa kwa vile ndoto zako huwa ni kweli 100%??
 
 

Attachments

  • Screenshot_20210316-224219_Drive.jpg
    65.4 KB · Views: 3
wewe member tumia akili basi sio kukaa kujichekea chekea tu
 
wazee wa mahesabu pigenii weee sijui H2H sijui Goal diference sisi lengo letu ni kufika nusu finali, tunamsubiri AS vita kwa haam kama ahadi ya binti wa kipemba vile
 
Leo mchana nilikuwa nafanya kikao nikaambiwa mpaka kufika mapumziko ni mbili bila,
Niliumia na kukasirishwa sana nikawaza leo lazima wewe jamaa uniletee mbwembwe,
Wangeruhusu kuingia uwanja wa taifa ningevaa kanzu nishabikie waarabu aisee...
mbona unawapenda sana waarabu
 
Vita ana -1 Simba ana +5 unategemea Simba kufungwa 6 na Vita kufunga 8 mechi zilizobakia?
 
Mechi yake ya mwisho dhidi ya As vita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…