The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
ninazo za miaka 5 ndani, nakuhurumia wewe mwenye maambukizi mapya
Maambukizi Ya Simba sio?😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ninazo za miaka 5 ndani, nakuhurumia wewe mwenye maambukizi mapya
Yeah for sureKama hatuongezi basi tulinde cleansheet
Kila mchazaji huwa anataka kufunga...hakuna struker mwenye utulivu by nature...natamani kuona combinations ya MPANZU na striker mwingine mwenye utulivu...Sijui kwa nin hatufungi magoli mengi sec half. Wachezaj waambiwe hizi timu za kufunga hata 7 zipigwe tu.
Hao pimbi hawawezi kupata hata goli moja. Cleansheet ipo salama kabisa ondoa hofu.Kama hatuongezi basi tulinde cleansheet
Wanazingua sana dakika ya ngapi??Hii kawaida ya simba kuridhika na matokeo haifurahishi.. hii ilikua nafasi kwao kuongeza GD. Sub zote hakuna iliyofanya kazi. Wanacheza "Relaxation football"
Done✅3-0
Mpanzu to score, yes.
Hapa ni mtizamo wa kocha na wachezaji wanarithishana hii tabia.Hii kawaida ya simba kuridhika na matokeo haifurahishi.. hii ilikua nafasi kwao kuongeza GD. Sub zote hakuna iliyofanya kazi. Wanacheza "Relaxation football"
Sawa tunajenga timu ila wakati mwingine tuwe serious kidogo. Inafika wakati mtu anakosa magoli anachukulia poa tu.Ndio maana bado tunajenga team
Kuna watu walidukua mfumo wa Whatsapp wakabakisha status yao kwa masaa 48. Watu wa IT wamerekebisha mfumo.Points 3, goli 3, Clean sheet, killeleni.
Simba wapo ivo tangu enzi za Sunderland na Yanga ni watu wa jihadi hata kabla ya Tabu Mangara hajaanzisha Pan Africa!Inafika wakati mtu anakosa magoli anachukulia poa tu.
Unamhonga askari magereza unamuahidi kumpa nini?Aisee hata kama bahasha sio hivi😅😅
Tunakwama hapa kila siku. Hapa siongelei mpira wa nguvu au jihadi, naongelea kupoteza nafasi za wazi. Ukiangalia hata kimataifa tunakwama kila msimu kwa kushindwa kutumia nafasi nyingi hasa uwanja wa nyumbani. Tusilee tatizo kwa kusema ndiyo kawaida yetu.Simba wapo ivo tangu enzi za Sunderland na Yanga ni watu wa jihadi hata kabla ya Tabu Mangara hajaanzisha Pan Africa!
Sawa mkuuu shinda tanò kwa KMC Next gameTimu vibonde kama hizi yanga uwa anatoa dozi ipasavyo kuanzia chuma 5+,,kushinda 5 au 6 sio kwa Kila timu!