Full Time: Simba SC 4 - 0 KMC | NBC Premier League| KMC Complex | November 6, 2024

Ahoua ajiongeze, simba inahitaji ubunifu toka kwa namba 10, pasi aliyoipiga debora kwa kapombe, dk 3 nyuma ahoua alishindwa kupiga pasi kama hiyo kwa mukwala, ambayo ingemfanya mukwala abaki yeye na kipa..
 
Nadhani anahitaji mshindani. January apewe mshindani.
 
Malalamiko yamekuwa mengi Sasa😁😁
Mara Simba inapumzika Sana. Mara kwa nini wana penati nne. Mara kwa nini mpaka leo hakuna hata mechi yao Moja iliyochezeshwa na Arajiga😁

Nimeanza kusikia tayari kuwa Wallace Karia anaibeba Simba😃😆😀
 
Back
Top Bottom