Full Time: Simba SC 4 - 0 KMC | NBC Premier League| KMC Complex | November 6, 2024

Full Time: Simba SC 4 - 0 KMC | NBC Premier League| KMC Complex | November 6, 2024

Malalamiko yamekuwa mengi Sasa[emoji16][emoji16]
Mara Simba inapumzika Sana. Mara kwa nini wana penati nne. Mara kwa nini mpaka leo hakuna hata mechi yao Moja iliyochezeshwa na Arajiga[emoji16]

Nimeanza kusikia tayari kuwa Wallace Karia anaibeba Simba[emoji2][emoji38][emoji3]
Hatutaki Arajiga achezeshe match zetu, silipendi lile baba, mxxxxiiiiiieeeeeew.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wachezaji wetu ni wazuri ila si hatari. Bado hatuna wachezaji wanaojua kutumia nafasi kwa kiwango cha kuwafanya wawe hatari. Kocha bado ana kazi ya kufanya kuongeza makali, natamani kuiona Simba ile ambayo ukizembea tu unafungwa, Simba isiyofanya mchezo na nafasi zinazopatikana.
 
Back
Top Bottom