3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Hii simba inatisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama AzamHii timu bila penati haiwezi kupata ushindi
Hatutaki Arajiga achezeshe match zetu, silipendi lile baba, mxxxxiiiiiieeeeeew.Malalamiko yamekuwa mengi Sasa[emoji16][emoji16]
Mara Simba inapumzika Sana. Mara kwa nini wana penati nne. Mara kwa nini mpaka leo hakuna hata mechi yao Moja iliyochezeshwa na Arajiga[emoji16]
Nimeanza kusikia tayari kuwa Wallace Karia anaibeba Simba[emoji2][emoji38][emoji3]
Yaani huwa wanaridhirika au kocha huwaambiwa wasifanye "intensity" kubwa kama wameshinda.Sec half Simba sijui huwa inawaza nini?
Simba Kipindi cha Pili Tunakuwa MdebwedoYaani huwa wanaridhirika au kocha huwaambiwa wasifanye "intensity" kubwa kama wameshinda.
Nikiumia Sana Siku hiiNa coastal waliongoza MBILI mtungi LAKIN zilirudi zote
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Mungu Ibariki Simba
Labda tuwe tumefungwa😆😆😃😄😜Simba Kipindi cha Pili Tunakuwa Mdebwedo