Full Time: Simba SC 4 - 0 KMC | NBC Premier League| KMC Complex | November 6, 2024

Hatutaki Arajiga achezeshe match zetu, silipendi lile baba, mxxxxiiiiiieeeeeew.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wachezaji wetu ni wazuri ila si hatari. Bado hatuna wachezaji wanaojua kutumia nafasi kwa kiwango cha kuwafanya wawe hatari. Kocha bado ana kazi ya kufanya kuongeza makali, natamani kuiona Simba ile ambayo ukizembea tu unafungwa, Simba isiyofanya mchezo na nafasi zinazopatikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…