FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

Ni kweli kwa juhudi za awamu hii tumeshinda. Pasaka njema mama.
 
Napendekeza kusiwe na uchaguzi mkuu Mama atawale mpaka atakaposema kachoka.

Na leo Simba ilikua inatekeleza ilani ya Samia,oooh sorry CCM.

Halafu herufi ya Kwanza ya Simba ndio herufi ya Kwanza ya Samia.

Simba S
Samia S
 
Hizi mechi nitaanza kufuatilia kuanzia robo fainali ambapo makapi yataanza kutenganishwa na nafaka.
 
Hizi mechi nitaanza kufuatilia kuanzia robo fainali ambapo makapi yataanza kutenganishwa na nafaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…