FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

Ila huyu Mugalu atakuwa ana limbwata sio bure....yaani anasifiwa sana halafu uwanjani ni low class striker....

Anapangwa kila mechi....itakuwa anatumia vumbi la Congo.
eti wawa nae kamanda hahahahaha huwa anagalagazwa balaa analamba nyasi
 
leo wawa na onyango mmoja atalamba nyasi ama kupigiza upara chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…