FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

Mugalu.. sijapenda hili ingizo, pale mbele anatakiwa clinical finisher kwasababu hatutegemei kupata nafasi nyingi kama zile za merreikh. Kikosi kitamu sana
Kagere ni killer lakini hana footwork nzuri kama Mugallu kwahiyo hana msaada mkubwa akiwa nje ya 18

Boko nae kama Mugallu tu, anahitaji chance 5 kufunga 1
 
Mkude hakupaswa kuanza . Angeanza Bwalya
Mkude hii ndo mechi yake sasa.
Tadeo Lwanga si unamjua,sas huyu Mkude ni mkata umeme mdogo.
Lwanga mkata umeme mkubwa.
Mkude mkata umeme mdogo.
 
Back
Top Bottom