Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Tukimkwepa Mamelody, Esperance au Wydad tuna nafasi kubwa ya kufika nusu fainaliMnataka Nusu fainal tucheze na Nani??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukimkwepa Mamelody, Esperance au Wydad tuna nafasi kubwa ya kufika nusu fainaliMnataka Nusu fainal tucheze na Nani??
Hizo hadithi mwisho wenu leoTukimkwepa Mamelody, Esperance au Wydad tuna nafasi kubwa ya kufika nusu fainali
Kagere ni killer lakini hana footwork nzuri kama Mugallu kwahiyo hana msaada mkubwa akiwa nje ya 18Mugalu.. sijapenda hili ingizo, pale mbele anatakiwa clinical finisher kwasababu hatutegemei kupata nafasi nyingi kama zile za merreikh. Kikosi kitamu sana
Ahsante mkuu kwa concern ...nipo kwenye Bajaj! Haha lete LinkEdit kwanza heading ndio nikwambie channel
Mtani mi nafurahi mmekuja hapa na leo kubana, lakini usisahau kwa Mkapa . . . . .Hizo hadithi mwisho wenu leo
robo umepangwa na Group B,ukishika #2 unacheza na MamelodTukimkwepa Mamelody, Esperance au Wydad tuna nafasi kubwa ya kufika nusu fainali
Nilidhani kuna droo itafanyikarobo umepangwa na Group B,ukishika #2 unacheza na Mamelod
Hakuna droo mkuuNilidhani kuna droo itafanyika
leo mtajua kwamba hamjuiKocha ana strategy kali sana, ameweka miamba kati na wachochezi pembeni.
Chikwende amesajiliwa kucheza VPL tu.Hivi Chikwende majeruhi?
Hapana tumewakosaVipi tumekoswa???
Mkude hii ndo mechi yake sasa.Mkude hakupaswa kuanza . Angeanza Bwalya