Sijui kwanini kocha anamuamini kupiga kiasi hivyo..!Huyu Mugalu analeta mapenzi kwenye kazi.
Wasudani siku zote wanawasumbuaga sana wamisri, kumbuka ni majirani waleDaah mwarabu kapotea kwa wale vibonde kindezi hivyo
hili kundi ni la wagonjwa watupu hahahahahahahaWakuu mpira ni nyoko aisee.
Mpaka sasa Al Ahly keshapigwa mbili bila na Ala Mareick.
Tofauti urefu tu......mengine ila kiwango Mugalu kama anamzidi ni 35% kwa 31%achaga ujinga nimecheka sana ko mugalu na yikpe nani mugalu