FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

Wadau kama kuna mtu anajiamini kabisa kwamba Uchawi uppo mimi nimpe tenda, MUGALU awe mgonjwa kila mechi ya Simba ili asipangwe. Nipo tayari kutoa donge nono.
All Simba Fans "SAY NO TO MUGALU"
 
Kagere ni killer lakini hana footwork nzuri kama Mugallu kwahiyo hana msaada mkubwa akiwa nje ya 18

Boko nae kama Mugallu tu, anahitaji chance 5 kufunga 1
Katika sajili zijazo moja ni kumsajili striker wa maana.

Walipe hela ya maana watuwekee mtu wa njaa. Hawa akina vita wanakula hata 5.
 
Back
Top Bottom