FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

japo wanaongoza kwa bao 2 lkn bado simba hawajatulia kuna tatizo nadhani,
mpangilio wa mashambulizi sio mazuri kabisa.
 
poor combinations poor finishing, they hv to rectify that immediately
 
Sema huyu Mugalu fala sana, Chama selfish Sana
Bora kua fala mkuu kuliko kua selfish. Jamaa anazingua sana ...fala anarekebishika...selfish hawez mana anajfikiria yeye tu kua supastaa na wakat team work ndio mpango mzima
 
Hawa Merrikh sio vibonde kabisa, hata sisi tulinusurika pale Khartoum siku ile

Merrikh kama anashinda leo bado atakuwa na nafasi ya kufuzu, japo ni finyu
 
They tryna ask who is he?

Kumbe fundi kila match ana laana kama bundi
259332.jpg
 
Mechi ni mapumziko kwa sasa

Matokeo mpaka sasa

Al - Merreikh 2 Al Ahly 0

Kama mnavyojua Uwanja wa Mkapa Simba yuko mbele kwa goli 2-1 mpaka sasa dhidi ya wacongo (As Vital O) na ni mapumziko pia.

Matokeo yakiisha hivi katika viwanja vyote manake Simba anaingai robo fainali kwa kuongoza kundi lake jambo ambalo halijawahi kufanywa na Club yoyote ya Africa Mashariki (kuingia hatua hii kwa kuongoza kundi na kupata point zaidi ya 10). Hii itakuwa historia ambayo inaweza isijirudie tena mpaka kizazi chetu kipotee..
 
Jamani nisaidieni bernad Morrison na miquisone Nani mkali zaidii
 
Back
Top Bottom