Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza walikuwa kwenye majukumu ya timu zao za taifa, wamekuja kwa kuungaunga tu siku mbili kabla ya mechijapo wanaongoza kwa bao 2 lkn bado simba hawajatulia kuna tatizo nadhani,
mpangilio wa mashambulizi sio mazuri kabisa.