FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

japo wanaongoza kwa bao 2 lkn bado simba hawajatulia kuna tatizo nadhani,
mpangilio wa mashambulizi sio mazuri kabisa.
Wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza walikuwa kwenye majukumu ya timu zao za taifa, wamekuja kwa kuungaunga tu siku mbili kabla ya mechi
 
Sina gubu ila natoa tu tahadhari, ndio hivi nawasulubu wasiotubu kwa hii hatari.../
 
Mnyamaaaaaaaa
 
Wadau kama kuna mtu anajiamini kabisa kwamba Uchawi uppo mimi nimpe tenda, MUGALU awe mgonjwa kila mechi ya Simba ili asipangwe. Nipo tayari kutoa donge nono.
All Simba Fans "SAY NO TO MUGALU"
Mugalu kwenye mazoezi anakamua sana, hata wewe ungekuwa kocha angekushawishi umpange mechi
 
Nataka Simba ashinde Ahly afungwe ili Simba amalize wa kwanza kwenye kundi awakwepe Mamelodi robo fainali.
Ndio cha kuombea maana akimkwepa huyo second placed team probably CR Belouzdad ni mlaini na nusu fainali itakuwa simple kuvuka
 
Nataka Simba ashinde Ahly afungwe ili Simba amalize wa kwanza kwenye kundi awakwepe Mamelodi robo fainali.
Kwanza tuombe tuingie robo, maana hilo tu ni hatua kubwa
 
Hivi vita nao walipokelewa na Yanga kama ilivyodesturi yao.?

Ama walielewa somo la uzalendo.
 
Back
Top Bottom