FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

FULL TIME: Simba Sc 4-1 AS Vita | CAFCL | Mkapa Stadium

Simba aliwakodishia Basi la Happy Nation wakalikataa wakachukua kivyao la Friends wao Azam. Anyway vyovyote iwavyo sawa[emoji106][emoji106][emoji106]
Wameingia uwanjani na coaster, lile basi la Azam halikuwabeba wachezaji.
 
Nchi ipo kwenye maombolezo mpira ungeisha tu
 
Mugalu tena
Kwa AK14 tulikuwa tunahesabu angalau 4, mbili tufanye naye angekosa
 
Sijui kwanini kocha hamtoi huyu Mugalu leo hayuko vizuri aisee atoke apumzike
 
Back
Top Bottom