Full Time: Simba SC 6-0 Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex | 14.03.2025

Ni kweli mkuu inaonekana kuna kauchoyo flan hivi,kuna move Mukwala angemuachia ahoua angefunga yeye akapiga nje,hayo mambo huwa yanaigharimu simba,inabidi wajirekebishe
Kabisa mkuu..kua na uchu wakufunga inasaidia ila Ina disadvantage ukikutana na timu ambayo unaitaj nafasi Moja tu kumaliza mchezo na hauna nafasi nyingi
 
Katesekee huko na mwiko wako nyuma
Tawi lenu limefungwa 6 unakuja kujichekesha kama ww hukufungwa 6
🤣🤣🤣🤣Tawi letu Leo hawajawakazia?😄mkitoa nao draw oh!... Wanakamia😃mkichapwa vilio kwa refa,😭😭😭😭...mkishinda sasa😄😄😄😄😄😄😄😄nguvu mbili bhana😃
 
Japo walihaidiwa pesa ndefu kutoka kwa rafiki yake na Engineer wa dodoma pia kutoka jangeani mpunga ulikuwa ni mwingi sana! Ila walichokutana nacho hawatasahau!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…