FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

Yaani Kipindi cha Kwanza nimependa wachezaji wa Simba Wametulia Safi
Yaani Wanacheza kwa Akili sio Makelele
 
Singida wanatakiwa kutulia na kucheza mpira. Waondokane na mawazo ya kuonewa.
 
Reactions: BRN
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…