Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂 Ubaya ubwelaNaye Rupia mpira wa kuparaza kupiga far post unapiga header alipo kipa. Kumpa sifa za bure tu Camara
Hii mechi ni nyepesi ngoja leo Mutale apumzike mkuu. Hakuna timu ya kuibabaisha Simba leo.KOCHAAAA TUWEKEEE MUTALEEE
Hahaha dah, nimemiss mikimbio ya mutaleHii mechi ni nyepesi ngoja leo Mutale apumzike mkuu. Hakuna timu ya kuibabaisha Simba leo.
mods gani ahangaike na mechi ya maagizoMods mmelala?
Kuna watu hawana ustarabu.Jiheshimu mkuu unachokitaka utakipata hapa tunazungumzia boli atuzungumzii bullying kama unataka matusi hapa sio sehemu yake
Ukiona malalamiko yamezidi jua Simba wanaupiga mwingi hivyo Yanga wanasononeka.Mbona huu uzi umejaa malalamiko?
Nani aliyewapa maagizo?Kinachowaponza ni maagizo waliopewa p1 na kuwa na wachezaji wazuri tu
Nunua TV nzuri mkuu, itakusaidia sanaWamebebwa ile ile tactical foul iliyofanywa na Hamza. Marefa wamemeza filimbi mpira umewekwa kati
Huyo simuachii hivi hivi atajua kama Mimi ni nani Leo watu wa aina hii sio wa kuwonea huruma huyoKuna watu hawana ustarabu.
Hawezi kuchangia mpaka akutoe kwenye reli.
Kuwa na subira mkuu
😃😀Ukiona malalamiko yamezidi jua Simba wanaupiga mwingi hivyo Yanga wanasononeka.
Wameshaathiriwa psychologically, kila kosa wanalofanya kisha Simba Sc ika capitalize wao wanahisi wameonewa.Singida wanacheza na refa
Simba wanacheza Boli
Half Time Wao ziro Sisi Moja