Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Hajui mpira mutaleUngeingia wewe
Kama unaweza ukikutana na huyo utopolo mpigeKibaraka kingine cha Utopolo kimepigwa
FT. : SBS 0 - 1 SSC
Watakwambia hii haina efd
Ila liverpool inakupa utajiri ee😂😂Mtakalia umasikini hivi kila siku sababu ya kuendekeza simba na Yanga, hamjui kuwa hizi timu zinatumika kisiasa kuwapumbaza nyie watanzania?
Liverpool haitumiki kisiasaIla liverpool inakupa utajiri ee😂😂
Dogo mwanzo nilijua ni mchezaji wa nje Sijajua huko SA kwanini walimuuza mtu anaecheza Kwa akili Kama huyuUtulivu wa hali ya Juu beki Hamza
Ongeza dau tajiri, please.
Awape free role Mpanzu+Ahoua kwenye mfumo wa 4-3-3,Mpanzu msimu utaisha huu asiwe na goli hata mojaJapo Mimi sio MTU wa Ball sana .
SIMBA HAMNA KOCHA .
aina ya wachezaji waliopo Simba, sio timu ya kushinda Kwa kubahatisha bahatisha.