majebelenzoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 288
- 465
Ulitaka washinde ngapi kwani nechi ya yanga na dodoma jiji? Mashosti wanapeana migoli bwerere, kenge nyieLeo tumeshinda kamoja kama kawaida yetu na dakika 3 zimeongezwa wala hakuna lawama kwa waamuzi. Hakuna tena hujuma za 50m kutoka kwa KIGOGO asiye na jina. 😂