Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maumivu makubwa sana, nunua TV nzuri itakusaidiahakuna magoli ya hivyo anzia lililo kubaliwa hadi hili lililo kataliwa yote yana makosa
We apia hata kwa kireno ila kwa huo uchezaji wa simba hamuna hatua ndefu.kama safari nyie mnayo nendeni ..nakwambia mtaishia hapo njiani walai
Waambie hao 🐸🐸waache kunywa supu za vibudu ili akili zao zikae sawa wajifunze kwa wenye akili kubwa pale Msimbazi.Oo leo makolo wanarudi kwenye nafasi yao kiko wapi wachawi wakubwa nyie, huyo mliyemuona ndio mgumu na mlitegemea awape furaha tumempiga, na hili dirisha dogo tunaboresha kikosi hivyo mzunguko wa pili hakuna wa kutusumbua tena
Muda utaongea usisahau mzunguko wa pili unakutana na Yanga tena.Ufasubiria sana....
Nakwambia mwaka huu mtajua maana ya ubaya ubwela..
Na Utopolo alikuwa anasubiri mnyama adondoshe pointi 2 au 3.Kibaraka kingine cha Utopolo kimepigwa
FT. : SBS 0 - 1 SSC
Umeshamuona Kayoko anachezesha mechi yoyote baada ya kuwabeba utopolo kwenye dabi?Alidundwa goli alifunga nani? Upande wa simba
We tulia Hawa watapigwa vibaya sana na ayo magoli yao ya mungu saidia na uchezaji wao huo Kuna kilio kinakuja vinginevyo wabadilike haraka, kipindi cha pili wanakata moto wanakuwa kama wamepigwa ganzi na sub za kocha wao uyo!Muda utaongea usisahau mzunguko wa pili unakutana na Yanga tena.
Na kwa huo uchezaji wenu mmmh hapana sehemu mtaponea.
Unataka kumaanisha nini?Umeshamuona Kayoko anachezesha mechi yoyote baada ya kuwabeba utopolo kwenye dabi?
Ndio maana nawaambia muda utaongea.We tulia Hawa watapigwa vibaya sana na ayo magoli yao ya mungu saidia na uchezaji wao huo Kuna kilio kinakuja vinginevyo wabadilike haraka, kipindi cha pili wanakata moto wanakuwa kama wamepigwa ganzi na sub za kocha wao uyo!
Yanga hii iliyobebwa na Kayoko hadi akafungiwa? umeshamuona Kayoko akichezesha mechi yoyote tangu dabi?Muda utaongea usisahau mzunguko wa pili unakutana na Yanga tena.
Na kwa huo uchezaji wenu mmmh hapana sehemu mtaponea.
Lete ushahidi wa Kayoko kufungiwa kisa kuibeba Yanga!?Yanga hii iliyobebwa na Kayoko hadi akafungiwa? umeshamuona Kayoko akichezesha mechi yoyote tangu dabi?
Umeshamuona akichezesha mechi yoyote?Lete ushahidi wa Kayoko kufungiwa kisa kuibeba Yanga!?
Kwahiyo kisa hachezeshi mechi sababu ni ban ya kuibeba Yanga!?Umeshamuona akichezesha mechi yoyote?
Uliitazama ile mechi bila jicho la kishabiki kama kawaida yako? ulitazama kipindi cha Kipenga Cha Mwisho mtaalam Othman Kazi akichambua kwa ushahidi wa video?Kwahiyo kisa hachezeshi mechi sababu ni ban ya kuibeba Yanga!?
Sababu za kimasomo na zinginezo hazipo!?
Nilitizama vyote kabisa.Uliitazama ile mechi bila jicho la kishabiki kama kawaida yako? ulitazama kipindi cha Kipenga Cha Mwisho mtaalam Othman Kazi akichambua kwa ushahidi wa video?
Musimu huu mtaishi sana kwa matumaini. This is ubaya ubwelaWe tulia Hawa watapigwa vibaya sana na ayo magoli yao ya mungu saidia na uchezaji wao huo Kuna kilio kinakuja vinginevyo wabadilike haraka, kipindi cha pili wanakata moto wanakuwa kama wamepigwa ganzi na sub za kocha wao uyo!
Mbali na zile penati za Kibu, ile faulo iliyozaa goli haikupaswa kuwa goli kwani Musonda alipeleka kichwa kwenye mpira uliokuwa kwenye himaya ya Okejepha, mpira uliokuwa size ya mguu yeye akapeleka kichwa, kwa mujibu wa Kazi na wachambuzi haikupaswa kuwa fauloNilitizama vyote kabisa.
Yalofanyika ni makosa ya kibinadam ila sio upendeleo kama unaousemea.
Maana hata kwa upande wa Simba zipo sehemu Kayoko alizipeta.
Kama unazungumzia kosa hilo kuna makosa yamefanywa mengi tu makubwa tena na refa mzuri kama Arajiga mbona hakufungiwa!??Mbali na zile penati za Kibu, ile faulo iliyozaa goli haikupaswa kuwa goli kwani Musonda alipeleka kichwa kwenye mpira uliokuwa kwenye himaya ya Okejepha, mpira uliokuwa size ya mguu yeye akapeleka kichwa, kwa mujibu wa Kazi na wachambuzi haikupaswa kuwa faulo