FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

Muda utaongea usisahau mzunguko wa pili unakutana na Yanga tena.
Na kwa huo uchezaji wenu mmmh hapana sehemu mtaponea.
Umemsikia anko wako huku wasemavyo....
 
Attachments

  • 1735414366967.jpg
    1735414366967.jpg
    219.5 KB · Views: 3
Umeshamuona akichezesha? wewe unaona kawaida?Kwa nini iwe baada ya dabi tu? Ukiitumia vizuri akili utaelewa.
Endelea kukaza fuvu.
Arajiga mechi ya 5-1 alifanya makosa mengi mnoo na hakufungiwa.
No evidence no talk usilete uswahili uswahili hapa.
 
Umemsikia anko wako huku wasemavyo....
Sasa huyu na mpira wapi na wapi!?
Timu anazocheza nazo Simba nazo timu!?
Zile timu hata ukimuweka Fountain gate anapata point.
Halafu uje ufananishe na Tp mazembe,Mc alger na Al hilal Omdurman.
Bro unatumia ubongo wako vizuri kweli wewe!??
Yani kina Cs sfaxien na Cs constantine ufananishe na hiyo miamba kina Mazembe na Omdurman!??
 
Kwa hiyo Simba anabebwa NBCPL na kule CAFCC?

Una mtazamo wa kizwazwa kabisa, anyway piga kelele zote Simba tunaongoza NBCPL na kule CAFCC tuna points 6 ilhali vyura mmepoteana kote kote
 
Kwa hiyo Simba anabebwa NBCPL na kule CAFCC?

Una mtazamo wa kizwazwa kabisa, anyway piga kelele zote Simba tunaongoza NBCPL na kule CAFCC tuna points 6 ilhali vyura mmepoteana kote kote
Itoshe kusema akili huna,na hata sijui mitihani shuleni ulikua unafaulu vipi!
Simba yupo kundi jepesi ambalo hata angecheza Fountain gate angepata point tu.
Usifananishe ubora wa timu za kundi la Simba na kundi la Yanga.
Alhilal na Tp mazembe wapo rank za juu CAF kuliko Yanga.
Pia MC alger yupo rank za juu kuliko vitimu vyako hivyo kina Constantine na Cs sfaxien.
Yanga yupo kundi gumu kama la msimu uliopita la Al ahly na Belouzdad.
Usipoelewa hapo embu kabishane na watoto wenzako.
 
Umeeleza maelezo mengi yasiyo na tija.
Arajiga kipindi ile faulo inafanyika alikua palepale.
Pia nimekwambia lete ushahidi wa Kayoko kufungiwa kisa mechi ya Dabi.
Talk with evidence sio kuropoka ropoka tu.
LETE USHAHIDI HAPA KUWA KAYOKO HAJACHEZESHA MECHI HADI SASA KWASABABU YA MAKOSA YA MECHI YA DABI.
Swala la kayoko lilipelekwa kwenye kamati ya waamuzi na vipindi mbalimbali vya michezo vilitangaza hili jambo na TFF mapema tu walishema wakimpa adhabu muamuzi hawatatangaza itakuwa kimya kimya so kayoko kafungiwa acha kubisha.
 
Sasa huyu na mpira wapi na wapi!?
Timu anazocheza nazo Simba nazo timu!?
Zile timu hata ukimuweka Fountain gate anapata point.
Halafu uje ufananishe na Tp mazembe,Mc alger na Al hilal Omdurman.
Bro unatumia ubongo wako vizuri kweli wewe!??
Yani kina Cs sfaxien na Cs constantine ufananishe na hiyo miamba kina Mazembe na Omdurman!??
Mc alger ana maajabu gani hapa afrika? Mara ya mwisho kucheza hatua ya makundi au robo au hata nusu fainal cafcl ni lini? Ana makombe mangapi ya cafcl?

Al hilal omduman aliyekufunga mara tatu mfululizo kwa mkapa nilimpiga 4 bila so hana maajabu yoyote na naomba unikumbushe mara ya mwisho al hilal kucheza hata robo fainal ya cafcl ilikuwa ni lini?

Tp mazembe hii mbovu yenye wachezaji wa academy still wana alama nyingi kuliko wewe?

Mechi 3 alama 1 tena mbele ya timu za kawaida tu kama mc alger,mazembe na al hilal we si kibonde?
 
Itoshe kusema akili huna,na hata sijui mitihani shuleni ulikua unafaulu vipi!
Simba yupo kundi jepesi ambalo hata angecheza Fountain gate angepata point tu.
Usifananishe ubora wa timu za kundi la Simba na kundi la Yanga.
Alhilal na Tp mazembe wapo rank za juu CAF kuliko Yanga.
Pia MC alger yupo rank za juu kuliko vitimu vyako hivyo kina Constantine na Cs sfaxien.
Yanga yupo kundi gumu kama la msimu uliopita la Al ahly na Belouzdad.
Usipoelewa hapo embu kabishane na watoto wenzako.
Kundi la simba ni gumu kuliko kundi lako simba tangu tuanze kushiriki michuano ya kimataifa haijawahi kutokea tukacheza mechi 3 halafu timu 3 zikawa na point 6 haijawahi tokea.

Kundi lako ni kundi jepesi coz timu zote vibonde tp mazembe wachezaji wake 7 wa first 11 wameondoka na wamefungiwa kusajili wanachezesha watoto wa academy so mazembe hawa sio wale waliokuwa wanawapiga waarabu nje ndani. Mc alger mara ya mwisho kushiriki hii michuano ni lini?
 
Hao wote ni madogo kwa Simba yenye rank za juu kuliko wao...

Itoshe tu kusema 🐸🐸 bado mnajitafuta kimataifa, Endeleeni kujifunza kwa Simba baba lenu.
Bado akili huna wewe.
Kabishane na watoto wenzako.
Unitajie mwaka ambao uliwahi kumfunga Al hilal au TP mazembe.
 
Mazembe msimu huu hana timu yeyote ya kutisha, anachezesha watoto, Yule Al Hilal hata uwanja anacheza mechi zake nje ya kwao.Angalau MC Alger kidogo.

Hili lilikuwa kundi rahisi kwa Yanga.
 
Bado akili huna wewe.
Kabishane na watoto wenzako.
Unitajie mwaka ambao uliwahi kumfunga Al hilal au TP mazembe.
Aliyebuni unywaji wa supu hapo jangwani alilenga kuharibu afya ya akili kwa kila anywaye supu..

Pole 🐸 maumivu ya ubongo yakizidi wahi Mirembe
 
Back
Top Bottom