FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

Kama unazungumzia kosa hilo kuna makosa yamefanywa mengi tu makubwa tena na refa mzuri kama Arajiga mbona hakufungiwa!??
Kama kosa lipi la Arajiga lilimpasa kufungiwa? kaangalie video ya dabi,Kibu anafanyiwa faulo mbaya ta wazi na refa yupo hapo hapo anafanya ishara ya kupeta maana yake ameona akaruhusu mpira uendelee, ni afadhali kama angekuwa hajaona.
 
Dabi ya 5-1 hivi unajua kama Mudathir alimfanyia faulo mbaya Chemalone Fondo?
Na ikatolewa pasi watu wakaenda kushinda goli ka tatu kama sijakosea.
Na refa alikua Arajiga,tena faulo alochezewa mbaya njumu ilikita kwenye pachupachu na Arajiga alikua mbele yao.
Naona unaongea tu hisia zako hata huna ushahidi kuwa Kayoko kafungiwa kisa hiko.
 
IMG-20241207-WA0005.jpg
 
Tatizo hujaelewa makosa ya kibinadamu yanakuwaje na makosa ya kukudia, kama kosa limefanyika mbele ya refa na refa akaamuru mpira uendelee maana yake amepima na kuona si faulo au amekusudia kupeta, inapodhihirika lilikuwa kosa basi hilo linakuwa ni la kukusudia, hiyo mechi ya Arajiga inaonesha alikuwa katika position ipi na kosa lilitendeka wapi. Halafu watu wengi hawajui sheria maana hawayofautishi makosa ya linesmen na yale ya refaree, ndio maana unakuta watu wanamlaumu Lawi kwa ule mpira uliopaswa kuwa kona badala yake akawapa Simba goal kick. Nimekuuliza swali simple, umeshamuona Kayoko anachezesha mpira tangu dabi? Kwa taarifa yako hutamuona
 
Umeeleza maelezo mengi yasiyo na tija.
Arajiga kipindi ile faulo inafanyika alikua palepale.
Pia nimekwambia lete ushahidi wa Kayoko kufungiwa kisa mechi ya Dabi.
Talk with evidence sio kuropoka ropoka tu.
LETE USHAHIDI HAPA KUWA KAYOKO HAJACHEZESHA MECHI HADI SASA KWASABABU YA MAKOSA YA MECHI YA DABI.
 
Umeshamuona akichezesha? wewe unaona kawaida?Kwa nini iwe baada ya dabi tu? Ukiitumia vizuri akili utaelewa.
 
Back
Top Bottom