FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

Leo zingeanzishwa nyuzi 20 kuhusiana na goli. Timu inawekewa wasaidizi 8 kwenye ligi unategemea itafanya Vizuri Kimataifa ambalo hakuna GSM?.
Msimu wa mwaka jana Yanga ilicheza robo fainali,je iliwezaje kucheza!?
 
Leo zingeanzishwa nyuzi 20 kuhusiana na goli. Timu inawekewa wasaidizi 8 kwenye ligi unategemea itafanya Vizuri Kimataifa ambalo hakuna GSM?.
Hawana cha kuandika ama kuanzisha nyuzi maana refa kawasaidia....

Huko kimataifa sasa hawawezi kufika popote maana hakunaga kubebwa na refa huko....

Pole yake GSM 😂
 
Oo leo makolo wanarudi kwenye nafasi yao kiko wapi wachawi wakubwa nyie, huyo mliyemuona ndio mgumu na mlitegemea awape furaha tumempiga, na hili dirisha dogo tunaboresha kikosi hivyo mzunguko wa pili hakuna wa kutusumbua tena
 
Back
Top Bottom