Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Mjadala ufungwe... Simba keshachukua point tatu. Kwa Sasa pointi Kwa Simba ndiyo muhimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisema hawa vyura wataingia 2025 kwa malalamiko na sonona, hahah!Mjadala ufungwe... Simba keshachukua point tatu. Kwa Sasa pointi Kwa Simba ndiyo muhimu.
Kama kosa lipi la Arajiga lilimpasa kufungiwa? kaangalie video ya dabi,Kibu anafanyiwa faulo mbaya ta wazi na refa yupo hapo hapo anafanya ishara ya kupeta maana yake ameona akaruhusu mpira uendelee, ni afadhali kama angekuwa hajaona.Kama unazungumzia kosa hilo kuna makosa yamefanywa mengi tu makubwa tena na refa mzuri kama Arajiga mbona hakufungiwa!??
Sah ngojea iende jukwaa la kisiasa tumpe rafu mbowe mpk kielewekeMjadala ufungwe... Simba keshachukua point tatu. Kwa Sasa pointi Kwa Simba ndiyo muhimu.
Anataka niniweee mbaba mbona unanifuatilia Sana🤣🤣🤣
Hatucheki na WOWOTE 😂😂😂😂Kimoja ..kichefuchefu wiki mzima
Dabi ya 5-1 hivi unajua kama Mudathir alimfanyia faulo mbaya Chemalone Fondo?Kama kosa lipi la Arajiga lilimpasa kufungiwa? kaangalie video ya dabi,Kibu anafanyiwa faulo mbaya ta wazi na refa yupo hapo hapo anafanya ishara ya kupeta maana yake ameona akaruhusu mpira uendelee, ni afadhali kama angekuwa hajaona.
Tatizo hujaelewa makosa ya kibinadamu yanakuwaje na makosa ya kukudia, kama kosa limefanyika mbele ya refa na refa akaamuru mpira uendelee maana yake amepima na kuona si faulo au amekusudia kupeta, inapodhihirika lilikuwa kosa basi hilo linakuwa ni la kukusudia, hiyo mechi ya Arajiga inaonesha alikuwa katika position ipi na kosa lilitendeka wapi. Halafu watu wengi hawajui sheria maana hawayofautishi makosa ya linesmen na yale ya refaree, ndio maana unakuta watu wanamlaumu Lawi kwa ule mpira uliopaswa kuwa kona badala yake akawapa Simba goal kick. Nimekuuliza swali simple, umeshamuona Kayoko anachezesha mpira tangu dabi? Kwa taarifa yako hutamuonaDabi ya 5-1 hivi unajua kama Mudathir alimfanyia faulo mbaya Chemalone Fondo?
Na ikatolewa pasi watu wakaenda kushinda goli ka tatu kama sijakosea.
Na refa alikua Arajiga,tena faulo alochezewa mbaya njumu ilikita kwenye pachupachu na Arajiga alikua mbele yao.
Naona unaongea tu hisia zako hata huna ushahidi kuwa Kayoko kafungiwa kisa hiko.
Umeeleza maelezo mengi yasiyo na tija.Tatizo hujaelewa makosa ya kibinadamu yanakuwaje na makosa ya kukudia, kama kosa limefanyika mbele ya refa na refa akaamuru mpira uendelee maana yake amepima na kuona si faulo au amekusudia kupeta, inapodhihirika lilikuwa kosa basi hilo linakuwa ni la kukusudia, hiyo mechi ya Arajiga inaonesha alikuwa katika position ipi na kosa lilitendeka wapi. Halafu watu wengi hawajui sheria maana hawayofautishi makosa ya linesmen na yale ya refaree, ndio maana unakuta watu wanamlaumu Lawi kwa ule mpira uliopaswa kuwa kona badala yake akawapa Simba goal kick. Nimekuuliza swali simple, umeshamuona Kayoko anachezesha mpira tangu dabi? Kwa taarifa yako hutamuona
Umeshamuona akichezesha? wewe unaona kawaida?Kwa nini iwe baada ya dabi tu? Ukiitumia vizuri akili utaelewa.Umeeleza maelezo mengi yasiyo na tija.
Arajiga kipindi ile faulo inafanyika alikua palepale.
Pia nimekwambia lete ushahidi wa Kayoko kufungiwa kisa mechi ya Dabi.
Talk with evidence sio kuropoka ropoka tu.
LETE USHAHIDI HAPA KUWA KAYOKO HAJACHEZESHA MECHI HADI SASA KWASABABU YA MAKOSA YA MECHI YA DABI.
mamboNyie mliwafunga ngapi Hawa ndugu zenu 😀😀
kwema ndugu yangu nimelia sana hapa ccm litiVincenzo Jr samaleko mtani
achana na kayoko hoja si ulimpa mwenzio point 3Umeshamuona Kayoko anachezesha mechi yoyote baada ya kuwabeba utopolo kwenye dabi?
Kafanyaje?Simba wamshukuru Metacha