FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

Oo leo makolo wanarudi kwenye nafasi yao kiko wapi wachawi wakubwa nyie, huyo mliyemuona ndio mgumu na mlitegemea awape furaha tumempiga, na hili dirisha dogo tunaboresha kikosi hivyo mzunguko wa pili hakuna wa kutusumbua tena
Waambie hao 🐸🐸waache kunywa supu za vibudu ili akili zao zikae sawa wajifunze kwa wenye akili kubwa pale Msimbazi.
 
Muda utaongea usisahau mzunguko wa pili unakutana na Yanga tena.
Na kwa huo uchezaji wenu mmmh hapana sehemu mtaponea.
We tulia Hawa watapigwa vibaya sana na ayo magoli yao ya mungu saidia na uchezaji wao huo Kuna kilio kinakuja vinginevyo wabadilike haraka, kipindi cha pili wanakata moto wanakuwa kama wamepigwa ganzi na sub za kocha wao uyo!
 
Ndio maana nawaambia muda utaongea.
 
Muda utaongea usisahau mzunguko wa pili unakutana na Yanga tena.
Na kwa huo uchezaji wenu mmmh hapana sehemu mtaponea.
Yanga hii iliyobebwa na Kayoko hadi akafungiwa? umeshamuona Kayoko akichezesha mechi yoyote tangu dabi?
 
Kwahiyo kisa hachezeshi mechi sababu ni ban ya kuibeba Yanga!?
Sababu za kimasomo na zinginezo hazipo!?
Uliitazama ile mechi bila jicho la kishabiki kama kawaida yako? ulitazama kipindi cha Kipenga Cha Mwisho mtaalam Othman Kazi akichambua kwa ushahidi wa video?
 
Nilitizama vyote kabisa.
Yalofanyika ni makosa ya kibinadam ila sio upendeleo kama unaousemea.
Maana hata kwa upande wa Simba zipo sehemu Kayoko alizipeta.
 
We tulia Hawa watapigwa vibaya sana na ayo magoli yao ya mungu saidia na uchezaji wao huo Kuna kilio kinakuja vinginevyo wabadilike haraka, kipindi cha pili wanakata moto wanakuwa kama wamepigwa ganzi na sub za kocha wao uyo!
Musimu huu mtaishi sana kwa matumaini. This is ubaya ubwela
 
Nilitizama vyote kabisa.
Yalofanyika ni makosa ya kibinadam ila sio upendeleo kama unaousemea.
Maana hata kwa upande wa Simba zipo sehemu Kayoko alizipeta.
Mbali na zile penati za Kibu, ile faulo iliyozaa goli haikupaswa kuwa goli kwani Musonda alipeleka kichwa kwenye mpira uliokuwa kwenye himaya ya Okejepha, mpira uliokuwa size ya mguu yeye akapeleka kichwa, kwa mujibu wa Kazi na wachambuzi haikupaswa kuwa faulo
 
Kama unazungumzia kosa hilo kuna makosa yamefanywa mengi tu makubwa tena na refa mzuri kama Arajiga mbona hakufungiwa!??
 
Back
Top Bottom