FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

hakuna magoli ya hivyo anzia lililo kubaliwa hadi hili lililo kataliwa yote yana makosa
Kipa anatoka asipoweza kufika, huo ni udhaifu ambao kipa hapaswi kuwa nao. Refa kamlinda isivyo halali.
 
Kipa wako anatoka asipoweza kufika, huo ni udhaifu ambao kipa hapaswi kuwa nao. Refa kamlinda isivyo halali.
sio kweli kufika anafika sema refa anshindwa mlinda na matukio ya simba
 
sio kweli kufika anafika sema refa anshindwa mlinda na matukio ya simba
Angefika angedaka au kuutoa. Unless unasema mchezaji anapomuona kipa aliyetoka akimbie mbali asifate mpira kujaribu kufunga.
 
ntakuja kuona matokeo kwa refa huyu ni upumbavu wa Tatu Malogo
 
Haya ndo madhara ya kutoa ahadi kibao kuelekea mechi. Wachezaji wa Singida wamepanic, ni kama kuna kitu wanakipambania ambacho kiko njr ya uwezo wao mwisho wa siku wanaambulia kucheza madhambi na kadi za njano! Ajabu ni kuwa mashabiki wa Utopo wamekuja na matokeo yao mfukoni hivyo hawaangalii mechi kwa uhalisia wake.
 
Back
Top Bottom