Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,424
- 2,333
Madogo wametumwaHizi mechi zinazochezwa nje ya uwanja hazina ladha kabisaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madogo wametumwaHizi mechi zinazochezwa nje ya uwanja hazina ladha kabisaaa
Kipa anatoka asipoweza kufika, huo ni udhaifu ambao kipa hapaswi kuwa nao. Refa kamlinda isivyo halali.hakuna magoli ya hivyo anzia lililo kubaliwa hadi hili lililo kataliwa yote yana makosa
Mbona tayari ameshatupa na Ngoma amefunga tunaongoza moja sasa hiviAtaewapa Penalt...
Kala hela nae huyoo....
Anafanya stupid mistakes makusudi
sio kweli kufika anafika sema refa anshindwa mlinda na matukio ya simbaKipa wako anatoka asipoweza kufika, huo ni udhaifu ambao kipa hapaswi kuwa nao. Refa kamlinda isivyo halali.
Ok hapo sawa. GUSWA ANGUKA TUPATE PENATIMbona tayari ameshatupa na Ngoma amefunga tunaongoza moja sasa hivi
Nyingne tutapewa dk 6 za nyongeza
Angefika angedaka au kuutoa. Unless unasema mchezaji anapomuona kipa aliyetoka akimbie mbali asifate mpira kujaribu kufunga.sio kweli kufika anafika sema refa anshindwa mlinda na matukio ya simba
Ccm litiUnateseka ukiwa wapi?
mkuu enjoy maamuzi ya refaAngefika angedaka au kuutoa. Unless unasema mchezaji anapomuona kipa aliyetoka akimbie mbali asifate mpira kujaribu kufunga.
Yapi?mambo ya aibu hapa refa anafanya
Hii sio kijani mkuu, kule ndo kuna mambo hayo.mkuu enjoy maamuzi ya refa
Kala helaYani mpira wa kona unaogombaniwa golini, kipa anatokaje kwa lengo la kwenda kuumeza?
mkuu huoni hizo fauloYapi?