FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

FULL TIME: Singida Black Stars FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Liti Stadium | 28.12.2024

SUB za Fadlu huwa zinafikirisha sana, team imekosa balance katikati na muda wowote goli likirudi haki.

Chamou anachezaje Fullback ikiwa Zimbwe hajaumia.? Kagoma ana kadi moja ya njano hapo kati na sasa anakaba kwa machale ila bado kang'ang'ana nae.
Fadlu hajui boli anabahtisha tu, alinishangaza game iliyopita kumuingiza mutale kwenye game ngumu kama ile.
 
Back
Top Bottom