Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,676
- 128,227
Mtani we ndio yupi sa hapo? 😅😅
Mtani we ndio yupi sa hapo? 😅😅
mwarabu ndiye atakula asali ya mtu
Aliyechomekea hapo🤣Mtani we ndio yupi sa hapo? 😅😅
Mrabaha unafanya kaziTabora wanajilaza sana utadhani wameshinda
Nilijua tu. 🤣🤣🤣Aliyechomekea hapo🤣
bora hata tabora kaja uwanjani wengine walikimbia kabisaMrabaha unafanya kazi
Baadae uje uone ninavyomshughulikia mwarabu wa misri achana na hao waarabu wa taboraNilijua tu. 🤣🤣🤣
Mie pia wananishangaza walipaswa watonyeshe tumuone ana hali gani.hawa AZAM mbona hawatupeleki VIP? nataka nimwone CHACHA
Hivi uzi upo au bado hamjaanzisha?Baadae uje uone ninavyomshughulikia mwarabu wa misri achana na hao waarabu wa tabora
Hahahaaa. Kama kweli vile yaani.Baadae uje uone ninavyomshughulikia mwarabu wa misri achana na hao waarabu wa tabora
Ujingaujinga tu huyo mwamuzi wa pembeniNiambien offside apo iko wap?