brAin cRacker
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 1,034
- 1,638
hii nchi uhuru umezidi
kwamba huyu kipa ndio alikataa mkwanja hahahaha basi hana akili kabisa
kwamba huyu kipa ndio alikataa mkwanja hahahaha basi hana akili kabisa
Pole sana kolo. Si umeona Shaz hilo uwanjani?Simba ipo kwenye chimbuko la ustaarabu, Yanga wako huko Nzega wanajibizana na Chacha
Nini mkuu?Huu usengerema wa waamuzi umezidi
ngoja tuwachape mimi sijaona ofside paleHuu usengerema wa waamuzi umezidi
Nakusalimia ndugu yangu.
mtu anangalia kwenye tv ya chogo lazima aone offsidengoja tuwachape mimi sijaona ofside pale
Mwana aggregate vipiiiMsijisahaulishe, mpaka sasa hivi aggregate ni 3-2 Tabora akiongoza.
Sipo sana huku mkuuNakusalimia ndugu yangu.
Goli la pili ni ofside la tatu na la nne sio ofsideNiambien offside apo iko wap?