wakirumba
New Member
- Mar 26, 2025
- 1
- 1
All the best my teamKila la kheri Tabora United.
FT: Tabora United 1 vs 0 Young Africans.
All the best my teamKila la kheri Tabora United.
FT: Tabora United 1 vs 0 Young Africans.
Simba ipo kwenye chimbuko la ustaarabu, Yanga wako huko Nzega wanajibizana na ChachaDah haya maisha yanasikitisha yaani simba tuko zetu mambele tuna~ have fun tunakula burger kwa pizza, yanga wako zao ngaleloo wanakula miguu ya kuku...
Unateseka ukiwa wapi?Mabingwa wapo away wanakipiga huko CAFCL robo fainali, utopwinyo ni bingwa wa kunywa supu no more.
cha kushangaza yote yapo Tabora😀😀😀Hii mechi haikutakiwa kuchezwa leo. Macho na masikio ya taifa zima yalitakiwa kuwa Misri.
Cha kushangaza macho na masikio ya Tanzania yapo Tabora 😂😂😂 kuna mtu anafuatilia mashindano ya watoto huko??Simba wako bize na mwarabu wa Misri baadae, wenzetu mko bize na waarabu wa Tabora. Kupanga ni kuchagua…
Kila la heri kwa chama langu Tabora United, nimekuwa shabiki wenu tangu nikiwa nasoma middle school pale Tabora Boys.
View attachment 3290638
Asanteni YANGA, mpira Sio UaduiWananchi Yanga leo Ushindi ni lazima
Kile kisasi cha 3-1 tutakilipa tu
Mnacheza na Tabora mnahenyahenya hivyo, mkikutana na Mpanzu je?cha kushangaza yote yapo Tabora😀😀😀
Kwa hiyo unaona hizo junky foods ndio vyakula vya maaaaaana mnakula huko ma-mbele!?Dah haya maisha yanasikitisha yaani simba tuko zetu mambele tuna~ have fun tunakula burger kwa pizza, yanga wako zao ngaleloo wanakula miguu ya kuku...
Inashangaza sana yaani. 😅cha kushangaza yote yapo Tabora😀😀😀
sio kombe la looserAsanteni YANGA, mpira Sio UaduiView attachment 3291203
huwa wanapiga mtu hadi 5Mechi za kugombea mbuzi utopwinyo wanaziweza sana 🤣😂🤣
Sababu Tabora ni Saizi yakoInashangaza sana yaani. 😅